Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku nyingine kula ndizi mbivu😁

Ila mnanihamasisha nianze mazoezi… nimekua kibonge
Asante sana nilisikia hio sikuzingatiaga sana kumbe. Ndizi nakula katika mpangilio upi??

Yani ile hali ya jana sitaki hata kuisikia ilikuwa hatari sana.

Hebu nibless uvonenepa nione wengine mnanenepaga vizuri mimi sasa najaa juu na kitambi tu kha!!
 
Back
Top Bottom