Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

9EC71676-88B6-4245-8201-A86A59BB2857.jpeg

Mahondaw
Christine_1
 
😃😃Hapo kabla haujafika jembe ni jembe penyewe

Sijaenda muda mrefu nilikua mdau mkubwa wa Avesh naona saiv wamefunga
Hmm kipindi nasoma chuo nilikuwa naenda hapo avash, jembe nilikuwa naenda nilipomaliza six! Aisee palikiwa panahit, yule roberto wa amarula alikuja pale mwaka ulee oyaa🫢
 
Back
Top Bottom