Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,374
- 4,862
Mimi nimeokoka nampenda yesu😎Muone kama mgeni vile haha
Imeisha hiyooWakikujibu nitag☺
Jamani🥰🥰🥰 huwa najiskia raha kupata pacha!!!Hongeraa sana umezaliwa tarehe moja na mwanangu mdogo
Keshokutwa nae anatimiza mwaka mmoja
Uwiii poleee…Jmn nimepitwa
Siku si nyingi utaanza kucheka peke yako barabarani, kwanini tufike hukoMimi nimeokoka nampenda yesu😎
Na sijawahi kutamaniInaonekana!! Ni ya kienyeji kabisa na tattoo haina
Amen and amen! Mungu awatunze sana awape maisha marefu yenye raha furaha amani na utulivu.Jamani🥰🥰🥰 huwa najiskia raha kupata pacha!!!
Mungu akatunze ka auntie kangu🥰
Inategemea na mbegu za unaekutana nae…Naomba kuuliza swali, hivi uzinifu nao unaongeza mwili si ndio?
Mi sina makebo makubwa ila silaha zangu nazijua mwenyewe… nikitumia hizo sijali mtu ana makebo au hana😂😂😂Le superwoman lazima ujikubali.
Sio muwaachie tu hawa kina Seran sababu wanavitu flan waikute dunia yote yao
Amen tumepokea❤️❤️❤️❤️Amen and amen! Mungu awatunze sana awape maisha marefu yenye raha furaha amani na utulivu.
Yatakua ni macho tu hayo.Mi sina makebo makubwa ila silaha zangu nazijua mwenyewe… nikitumia hizo sijali mtu ana makebo au hana😂😂😂
Mwaka wa 7 sasa sicheki😎Siku si nyingi utaanza kucheka peke yako barabarani, kwanini tufike huko
Jamani kuna aina wananenepesha wenzao kama sifa wakati wao wako vilevile😫Inategemea na mbegu za unaekutana nae…