makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,510
- 108,671
Nehi boro..Kwishneii babu G 😹
😂🤣
Nehi boro..Kwishneii babu G 😹
😂😂😂😂Thubutuuu..!! 😹😹
Nyie ndo wale demu akija gheto unaingiza mpk viatu ndani na gheto hakuna kiti moja kwa moja kitandani..!! 🤣
Sema wewe, mie si mshtumiwa, sema we nifanyaje ili uanze kuniaminiWe unataka kufanyaje 😀
Umekuwa kama phillipo inzaghiLoose balls nyepesi kufunga mkuu yanini kukimbizana 😁
Nataka aa au basi😅Sema wewe, mie si mshtumiwa, sema we nifanyaje ili uanze kuniamini
Nehi boro 😹Nehi boro..
😂🤣
NililalaJamani 😌wewe ulikuwa wapi wakati naposti
HahahahaWewe naona ni mpelelezi wa kujitegemea ila JF 😅
SistahiliNa wewe shem tupia zamu yako..!!
Girlfriend wangu wa kipindi hichooo miaka ya nyuma huko aliniambia nafanana sana na Denzel.Denzel is one beautiful man!!
😅😅😅Girlfriend wangu wa kipindi hichooo miaka ya nyuma huko aliniambia nafanana sana na Denzel.
Nikamshukuru, nikamwambia lakini si kweli kwamba ninafanana na Denzel, Denzel ndiye anafanana na mimi 😂😂😂
Hatari 😅😅😅😅 nilimuona ila ni ka chill
Nimetuma nakuambia,uko bia ya ngapi Sasa hivi? Utakuwa umelewa ndo maana hujaona
Noma sana apa soon tunatangaza ndoa 🔥
Mbona utadhani na mimi nipo hapo. Ngoja nitoke labda ntakuona 😜View attachment 3604715
tayari nshatoka nipo napunga upepo kidogo pombe zikate niogelee af nile kama ntaweza ndo niingie kitandan niwaze jinsi gan umetuma picha pasina mtu yeyote kuiona mpaka usingizi unipitie inshallah 😬