Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwani ukinipa kuna shida gani maka 😹
Ngoja nikupe story sasa..

X nilifungua parody nikajipa jina flani very unique. Sasa tukawa tunajibizana sana issue za politics Kumbe kuna mdada akajua mi mwanaume akaanza shobo mara arepost tweet zangu, likes nyingi..

Ikabidi nichungulie page yake nikakuta yupo vizuri ila mashauzi mengi. Nikaanza ku like na kumsifia..!!

Eeh..!! Kumbe kimefall bhana 😹
Basi nakuta tag kwenye zile nyuzi za watu wanaovutiwa nao X na wanaume kule wananijaza “Oyaa mwanetu maliza pisi imekuelewa” Mi nakufa kucheka 😹

Sasa kuna siku kazama dm anajichekesha basi nikatafuta desa langu la mtongozo kuna jamaa mmoja alikuwa ananiimbisha nikatambaa nalo. 😹
Mdada anachekelea balaa, kila akinitengenezea mazingira ya kunipa namba nachomoa..!! (Najua alichokuwa anataka) Sa mi mkia nautoa wapi jamani..!!

Nikapotea kama mwezi kurudi nakuta dm nyingi za malalamiko kwanini simzingatii..!! 😹
Kuna siku akanitumia pics zake ana night dress na kibikini kinaoenkana 😻😹😹
Nikamkumbuka hapa angekuwa shost yangu Dr. Mariposa asingechelewesha angempiga finger kwa muonekano ule..!!

Sasa bhana nilivyomsifia ikawa fungulia mbwa mpk mpodido natumiwa 😹
🤣😂😂

Huyu anataka aliwe nawe huna meno, mpasie kijana wangu intelligent businesman aipige
 
Hiyo migebuka 😋
Maka mwambie bi mkubwa nakuja kula..!!
Karibu sana, nipo kwa waha huku, naila migebuka..
Shida sijaona wauza madafu, wakopeshaji ma wauza maji...
Wale wa dar wametokea wapi 😂🤣
 
Sure, unakuta unakijikazi cha dakika 5, ukienda ukirudi unaambulia unyoya, na ukisubiri hata dk 20 hamna kitu wanaweka.
Hadi raha
Alaf hapo mtu bado usoni kaweka emoj kubwa kama tumbo la Kobisi. Alaf sekunde 2 tu anafuta.

Daah! Ni masikitiko 😊😊😊😊😊
mnataka za naked wanetu? 😂😂😂
 
win-one pokea maua yako kwasababu umeacha picha muda mrefu na it Seem ww ni mwanamke huna heka heka. Kwa jinsi ulivyojisitiri.

Ila hebu fanya kama Tayana-wog anavyotoaga maelekezo. Iga mfano ule 😊😊😊😊

Au ficha macho tu . Mbona wenzako wanaonyeshega mpaka vidoti Seran 😂😂😂😂
shem una nini lakini 😅

kwahiyo win-one kapita sipo eeh! naomba urudie aisee..
 
win-one pokea maua yako kwasababu umeacha picha muda mrefu na it Seem ww ni mwanamke huna heka heka. Kwa jinsi ulivyojisitiri.

Ila hebu fanya kama Tayana-wog anavyotoaga maelekezo. Iga mfano ule 😊😊😊😊

Au ficha macho tu . Mbona wenzako wanaonyeshega mpaka vidoti Seran 😂😂😂😂
Eeh mnataka muanzishe ishu ya vidoti😁
 
Ila Nikisema nakutumia whatsapp.
sijui ataamini kuwa picha yake nimedownload au namba yako ninayo?.

Ila kimoja hapo cha uwongo. Ataamua yeye achague uwongo upi. 😊😊😊😊😊
Hapa ni fake zone fanya kuniletea receipt tu mimi ntaamua upi ni ukweli..
 
Back
Top Bottom