MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,239
- 12,898
Mlozi mwenyewe š„
Mlozi mwenyewe š„
Irudiwe plzPlease delete quoted post šš¾
Mwambia aselfike tumuasesi š
Mshana ni dingi fulan hana makuu.
Asiyekuwepo...???šIrudiwe plz
Mimi nilikuepo, sema mtandao ulichezaAsiyekuwepo...???š
Anabakishiwa kidogoAsiyekuwepo...???š
Basi fanya jambo nilazimike kukulipa šMimi nilikuepo, sema mtandao ulicheza
Nishawishini kwa mfano basi šnaungana na hawa ndugu Girl Poet irudiwe jamni
Kasema tufanye jambo ili alazimike kutulipa.naungana na hawa ndugu Girl Poet irudiwe jamni
ninyi ndo vijana hebu tumieni mbinu bwana sa mie nitawezaje šKasema tufanye jambo ili alazimike kutulipa.
Fanya basi kwa niaba.
kwani na wew ni last bornš¤£,, Haya sema unapendelea nini upewe kama zawadi š¤Nishawishini kwa mfano basi š
Akiselfika mwenyewe win-one namtumia yangu PM šKasema tufanye jambo ili alazimike kutulipa.
Fanya basi kwa niaba.
Nimeishiwa mipango, assist kama hizo mie naweza butua nje nikadhalilika.Nataka nikupasie wewe š¹
tuma kwa pm yangu ntawakilisha wengine š„Akiselfika mwenyewe win-one namtumia yangu PM š
Used? Labda kwa wengine sio kwangunishatupia weeeee mpka nimekua used kwenye macho ya wana selfkaš¤£š¤£