Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Girlfriend wangu wa kipindi hichooo miaka ya nyuma huko aliniambia nafanana sana na Denzel.

Nikamshukuru, nikamwambia lakini si kweli kwamba ninafanana na Denzel, Denzel ndiye anafanana na mimi 😂😂😂
Well, moja lazima afanane na mwenzie au sio 😁

Hopefully you are aging just as well as your lookalike maana nilikua namwangalia majuzi, nikajikuta nakubali mwenyewe, dude's still a looker!!
Screenshot_20260428-131512.jpg
 
Back
Top Bottom