Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,413
- 94,775
Weka bhana
Weka bhana
❤️Asante kipenzi
Pamojaewaaa nimefurahi kusikia hivyo tresor
😂😂😂😹😹😹 Sa si utulie una haraka ya wapi?
Nafanya zoezi kwanza la kubinua shepu okay?
Nipigie assist shangazi achana na makaveli10 sio mtu wa mipira iliyokufa 😁X nna hekaheka nna demu wangu ujue afu ananielewa kweli tatizo kifanyio sina..!! 😹😹
Siku akijua atajicheka, natamani kumpa assist cazee wangu tatizo niliwahi kumtukana kupitia parody langu na hajui km mimi.!! 😹
Lazima zipigwe akinijua 😹
😍😍😍 mahansamu tupu humu wamejaa..!!
Karibu sana.Yeaah third floor here I come
Yooo ni mda gani huoWee umechelewa kuliweka pics hapa mpk sio poa 😹😹😹
Ni mwendo wa kaptula ss hivi 😹😂😂😂😂
Denzel is one beautiful man!!
😍😍 NailsCredit to my bebe....😁🔥
Kiranga tuwe serious basi huyu si Denzel 😹
Kwa kweli maingizo mapyaa, umeona eeeh.Akhaaa huachiiii 🤣
Mie leo niko kando naangalia mangizo mapya😀😀
Yani cazee kalichukia parody langu mpk ananisimulia afu ndo mimi 😹😹Astghafirullah we binti 🙌🙌
Huchokiiii? Hukomiii? 😂😂😂Wangu waje 😹😹😹
Nimeogopa kusikia et Lamomy et ana demu wake 🤣🤣🙌Kwa kweli maingizo mapyaa, umeona eeeh.
Kina Figo hawakosekani humu, sasa wenye tamaa waingie 18 kiwalambe.
😂😂😂
🔥🔥🔥