cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
Mniombee kwa kweliii, 😂😂😂Kitakulamba
Ila sio rahisi kabisaa, Alooo.
Mniombee kwa kweliii, 😂😂😂Kitakulamba
Wachaa wee, Tag locs nije na mie kucheza.Niliwanyoosha mpaka wakaita mabingwa wa mji mzima .
Nisamehewe sijui nifanyalo🤣🤣😂😂😂 umechachukaa siku hizii wewee, Aloo.
Wahuni ndani ya nyumbaa🤣🤣Leeoooooo kaziii ipoooooo 🔥🔥
😂😂😂 yaani uko winja winjaa mnoo.Nisamehewe sijui nifanyalo🤣🤣
Mi namalizia hasira kwa mtu ninayemfahamu lazima nimchane afu nazama deep mpk anashtuka..!! 😹😹😂😂😂😂
Mie X, nilikua naparuana na Broohz angu niliemfuata,
Yeye anatumia real I'd, mie natumia fekeroo.
Kuna App nikakutana na Sir wangu wa Advance, nilichokaa, sikutegemea na yeye awepo kulee.
😂😂😂 mambo ya Fekero haya, oooh.
Kwa jina la Baba amenMniombee kwa kweliii, 😂😂😂
Ila sio rahisi kabisaa, Alooo.
Picha ya mwaka Jana Dom-Bambalaga .Wachaa wee, Tag locs nije na mie kucheza.
Mie mpole maskini basi huu uzi unani haribu😢😂😂😂 yaani uko winja winjaa mnoo.
Ahh vitu zangu hizo 😍😍Samahanini nina tatizo la mgongo au kibiongo😀View attachment 3604697
Leo umepitwaa coca
Rudia Kwa niaba ni tagHapana unaanzaje Yani kupitwa
Leo naomba niwe mpenzi mtazamaji ila picha zimetembea vibaya mnoWahuni ndani ya nyumbaa🤣🤣
Eeehee, kuja basiLeeoooooo kaziii ipoooooo 🔥🔥
Sikuwepo😢😢 dahLeo naomba niwe mpenzi mtazamaji ila picha zimetembea vibaya mno
Nshajizeekea mie naishi Kwa nguvu ya viksi😀😀Ahh vitu zangu hizo 😍😍
Pole kwa kupewa u hb
Sema nyie wa hivi mnakamiaga show 😹😹
Nije wapi?Eeehee, kuja basi
Ndio 😹Mie sitaki, ko ni Vipusa na vinjunga.
😂😂😂😂