Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

X nna hekaheka nna demu wangu ujue afu ananielewa kweli tatizo kifanyio sina..!! 😹😹

Siku akijua atajicheka, natamani kumpa assist cazee wangu tatizo niliwahi kumtukana kupitia parody langu na hajui km mimi.!! 😹

Lazima zipigwe akinijua 😹
😂😂😂😂
Mie X, nilikua naparuana na Broohz angu niliemfuata,
Yeye anatumia real I'd, mie natumia fekeroo.

Kuna App nikakutana na Sir wangu wa Advance, nilichokaa, sikutegemea na yeye awepo kulee.
😂😂😂 mambo ya Fekero haya, oooh.
 
Back
Top Bottom