Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,750
- 109,843
#JustACoincidence
#JustACoincidence
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Usitutishe bwana we, huu uzi wa stress free.
We ni KE au ME?Mkuu vibaya hivo!jina.la kike kabisa hilo labda unambie hiyo picha ndo inachanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitutishe bwana we, huu uzi wa stress free.
Birds of a feather...#JustACoincidenceView attachment 1291136
Ndio mama.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanahesabiwa wasiojitegemea tu siyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Except for flat earthers.Hapo sasa, ndio maana tunatakiwa kuheshimu mawazo ya kila mtu bila kujali..
Pendeza sana.Za jioni??View attachment 1287882
Unge jiselfii kwanza tujue mazingila uliopo nahisi kama sio maji ya dhahabu basi cha Arusha ndo kinafanya kazi sio kwa wepesi huo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Ex darling usinifanyie hivyo jamani.
@Jael kasema meta imehamia dodoma na majenho yake
Ka live location kangependeza zaidi kama unaona noma hapa katupie kule pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Usituchonganishe mkuu mimi ilikua kitambo sana tuEli79 hapa ndio unapokwama
View attachment 1291099
Mchana mwema wana jf, weekend imeanza mdomdo...