Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,144
Babe ni gani?..hata mimi imepita miaka sasa, ilà nakomaa tu kwani nishazoea kuambiwa hapana!!



Babe ni gani?..hata mimi imepita miaka sasa, ilà nakomaa tu kwani nishazoea kuambiwa hapana!!



Xmass hiyooooView attachment 1291194
Mbona imekaa sana.
Mbona imekaa sana.
Ila kawaida yako.





Mkuu mbona moshi wote nje si bora avute shisha basi.siku moja moja huwa natumia "hii kitu".
since leo ni ijumaa na ni mwanzo wa weekend, asubuhi kabla sijapata breakfast nikasogea kijiwe flani jirani na ofisini kwangu kupata puff kadhaa.
honestly speaking siku yangu imeenda vizuri sana leo hapa ofisini, i have accomplished my duties ontime per the work schedule.
NB: anayeonekana kwenye GIF sio mimi, nime download kwenye page fulani hivi ya kijamaica kule instagram.
View attachment 1291064
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh.. Uthibitisho nilitegemea kuupata kwako..Inasemekana ni kweli.. Lakini binafsi sijapata mtu wa hakika wa kuthibitisha hili
Sent using Jamii Forums mobile app



sawaMkuu ukipata muda tembelea channel ya youtube is bae kule youtube kama hauifahamu,, uwe unaangalia video za hao jamaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu. Nina mazoea ya kufunga mkanda nikiwa na safari tu, hizi ndogo ndogo huwa nazipuuzia. Itabidi nijifunze hiyo nidhamu.
Daaah rafiki yangu kipenzi nae tulimpoteza hivi hivi this year kwa kutokufunga mkanda. Kaacha 3 beautifull kids(bado wadogo sana, ka mwisho kana 2years)
![]()