Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,438
- 52,927
Hahahahaha mimi ninavaa miwani boss nimeona viatu tu
Hahahahaha mimi ninavaa miwani boss nimeona viatu tu
@Jael kasema meta imehamia dodoma na majenho yake
Ka live location kangependeza zaidi kama unaona noma hapa katupie kule pm
We mueche[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama hajakujibu na majengo yake sijui,, ngoja niendelee kutiririka na comments
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa yake ipo jikoni
Unavaa msuli kwani uko na ile kitu mkwe?Just a shadow mkwe....
Naja sasa hivi, ngoja nitafute makobazi na msuli wangu wakaribia kukauka
Binti[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hewa mkwe hewaUnavaa msuli kwani uko na ile kitu mkwe?
Mkwe hiyo hewa vipiii[emoji134][emoji134]Hewa mkwe hewa
Hapo sasa, ndio maana tunatakiwa kuheshimu mawazo ya kila mtu bila kujali..Nimetoka kumwambia mtu kwamba hapa watu wanabishana na baba zao bila kujua.
Mtu anamwambia baba yake "sikiliza dogo..."
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huwataji? Kuna mahali niliona unaitwa sukari ya warembo. Nikasema hiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134]
Hahah...mkwe hujui kama injini inahitaji hewa ili kuwa na ufanisiMkwe hiyo hewa vipiii[emoji134][emoji134]
Usije ukweni na msuli mkwe, ukaja kusababisha varangati.
Dogo kumbe nawe kalevi[emoji134][emoji134][emoji134]View attachment 1291099
Mchana mwema wana jf, weekend imeanza mdomdo...
[emoji39][emoji39][emoji39]mkuu umefikia wapi?