Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Mahali nipo sasa

mie nilisinzia bahati mbaya tu
Bado hazijawa very, we mwenyewe ulikuwa hapa hapa kwenye Uzi na picha hujaona![]()
Yup...
kwenye nyanja mbalimbali tu,, za kijamii, kiuchumi, kisiasa na kitamaduni..
Sent using Jamii Forums mobile app






Ufunge mkanda uncle...
Last week nimemzika jamaa yangu..! Alipitia kioo cha mbele hapo..
Sent using Jamii Forums mobile app





Daaah rafiki yangu kipenzi nae tulimpoteza hivi hivi this year kwa kutokufunga mkanda. Kaacha 3 beautifull kids(bado wadogo sana, ka mwisho kana 2years)Ufunge mkanda uncle...
Last week nimemzika jamaa yangu..! Alipitia kioo cha mbele hapo..
Sent using Jamii Forums mobile app




Usitutishe bwana we, huu uzi wa stress free.