Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,977
Mlinziiiiii nakuona nakuona sema huu uzi nimegundua wengi mnapiga gambe sana sio wanawake sio wanaumeKaribuni,ki home zaidi View attachment 1287826
Mlinziiiiii nakuona nakuona sema huu uzi nimegundua wengi mnapiga gambe sana sio wanawake sio wanaumeKaribuni,ki home zaidi View attachment 1287826
Uwe unaamkia sasa!Hahaha me hata 20 sijafika bado Ila home wananitreAt kikubwa Sana huko kijijini
Aisee pole sana!Leo nimekoswa koswa na Israel..ajali ya pikipiki sio POA..View attachment 1287805View attachment 1287806
Sasa si atamkia na wadogo zake humu ndani kuna vitoto vingi ni changanyikeni hiyo inaitwa, unaweza kuta unajibishana na mwanao humuUwe unaamkia sasa!
Karma kwanini usikubali tu maana umeandamwa kwa kuwa mdogo humu sio Depal, sio mzigua sio Saint anne ....kubali upate mchumba haraka
😁😁😁 Inawezekana kabisa..Sasa si atamkia na wadogo zake humu ndani kuna vitoto vingi ni changanyikeni hiyo inaitwa, unaweza kuta unajibishana na mwanao humu
Watu wanaopoa wake humu JF mitandaoni kuna kila aina ya watu unaweza kuta chaguo lako limo humu hahahahaHahahaha sijakataa kuwa nina huo umri ila ndiyo siyo mtoto sasa,, lol mchumba JF??
Watu wanaopoa wake humu JF mitandaoni kuna kila aina ya watu unaweza kuta chaguo lako limo humu hahahaha
Leo nimekoswa koswa na Israel..ajali ya pikipiki sio POA..View attachment 1287805View attachment 1287806
Leo nimekoswa koswa na Israel..ajali ya pikipiki sio POA..View attachment 1287805View attachment 1287806
NzuriZa jioni??View attachment 1287882
Hapo umeshashiba kitimoto hakuna tena wa kukuambia kitu!Za jioni??View attachment 1287882
Wewe umechat na maandishiChat na picha
NdiyoooWewe umechat na maandishi