Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee acha aunt
Mambo ya kulazimishana kusoma na uzee nimepata hesabu 5 aunt nasikilizia masimango tu hapa 😂😂
Mi nilijaribu kurudi hata semester sikumaliza nikarudi kuwinga ada ikaenda bure 😹😹
Ikatokea short course Miezi 6 kuhusu biashara nikalipia hata sikwenda nikapata majanga kijana wangu wa dukani kamtia mimba binti wa watu mwanafunzi..!!

Nikaona hizi elimu za uzeeni niachane nazo..! 😹
 
U

Si umesema unanijua em nilete OG
Na ule muda unajisemesha kuhusu Ai kumbe ulikua unanisemea mimi?? Aloooo 😹😹

Mbaga sikiza wewe wa kiume hizi mambo hazikufai. Uliweka pic yako hapa na ukaniita nione nikakusifia baaadaye ukanifata ukalalamika yule dada power mabula wa misungwi sijui mwadui huko anadai ana pic zako nikakuuliza uliwahi kumtumia? Ukajibu hapana na ukawatukana kinyama nikakwambia potezea..!!

Ukaja kurudi hapa unalalamika blah blah nyingi sijui watu wanasema wewe muongo pic sio zako nikaishia kucheka tukakutania na coca tukapita hivi.. kumbe bado una vinyongo vyako leo umekuja umebwata na kuharisha km bata hata sijakuelewa na sijakuzingatia zaidi ya kucheka na mpaji Mungu na kutaniana naye..!!

Sasa mimi mwenzio mama wa mambo kwa ushahidi sema hapa dukuduku lako lote likutoke acha kujaza mate mdomoni km una mimba..!!

Ongea tumalizane.
Mimi na wewe hatujuani kokote na hatujawahi hata kuonana..!!
Nini shida?
😂 Dah ety dada power mabula.

Sasa mkisema Sio picha zangu, mm hapo naumia kwa lipi?
Afu hy kusema picha hazikuwa zangu n ww ndo ulianzisha Afu hapa unasema cjui n dada gn huko 😂

Naona unanilisha maneno kusema nilikuwa nakusema ww khs hiyo AI, yan hata sikuwa nakuwaza kwa lolote mana Hua sina kawaida ya kuingia sana humu na hy siku nmeingia humu nkakutana na picha nikasema em niigoogle h picha Ndo nikakutana na insta yake na wale haukuwa ww. Sasa hapo kusema nakusemea ww cjui imekuja vp.

Tulia baby, Acha presha ❤️
 
Mimi aje hapa anieleze shida nini tufunge topic kukaa na kijiba siwezi.
Maana habari za yeye kuambiwa pic sio zake kaniletea yeye. Kazitoa huko kwenye uzi wa hao waliokuwa wanamsema..!!

Ghafla kabadili gia angani anatutuhumu sisi..
Halafu hata hiyo pic yake yenyewe nishaisahau maskini..!!

Wakikaa na power mabula wake wanajazana upuuzi gani sijui? Em Mbaga yaongee hapa tumalizane..!!
Afu ukiniandika jina hakikisha umenitag nione kwa urahisi, sio tena nipate shida kufuatilia story ilipoanzia
 
Back
Top Bottom