Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanachekesha mara sijui wako kwa Ai wanatoa emoji mara wanapelekwa kwenye page. Ai em awalete kwenye gallery yangu chap wasituchoshe..!!

Kuselfika hawataki wapo kuotea km vipofu 😹😹
😂😂😂😂 uduguu una ninii? Leo mie ni shwangwee tuu.
Yaani shangwee tuu, 😂😂😂
 
Lamomy
Uduguu Ulimi wangu kazi yake kubwa ni kuzomea km hivyo!!
Basi naambiwa ninao km wa ng'ombe,
😂😂😂😂View attachment 3603286
Wazomee tu wapuuzi..!!
Watu wamezoea kushinda na ng’ombe basi kila mtu wanamuona ng’ombe hawataki kuwaona kwenye uhalisia wao 😹😹😹

Tuache kuselfika tunaumiza watu mioyo kumbe..!!
 
Toka juzi naona I'd mpya na zingine zilizokua active huko kwingine, zimehamia humu, kuna comment niliona mtu alitoa afu akawahi kufuta, japo nilisoma.

Nikajisemeaa Shengesha humu watu tushazioea na tunatamba nazo, em waje na mpyaa bhana.

Hii ya kuchukua picha na kwenda Google lens, tulisanuliwa sio leo, ni toka wakati wa babu miga na yeye ndio alitoa hii segment, alileta picha ya mdada wa Mzumbe, na muhusika alikua na huyo kweli.

Ndipo tukasanuliwa, picha unatakiwa u secrenshot kabla ya kutuma, ili kuficha details zake.

Tena wakati huo kina mama malezi, Shunie, makiseo, simara etc.
Wala sio mpyaa, mkeka mzima uliletwa na Babu miga kupitia huu ujuzi, hata Mjep nae alieleza kwa undanii.

Hakuna jipyaa bhana wee, kila mtu aselfike na atembee zake.
Alaaaah 😂😂😂
 
U
Wap Nmeweka vimaneno?
Si umesema unanijua em nilete OG
Na ule muda unajisemesha kuhusu Ai kumbe ulikua unanisemea mimi?? Aloooo 😹😹

Mbaga sikiza wewe wa kiume hizi mambo hazikufai. Uliweka pic yako hapa na ukaniita nione nikakusifia baaadaye ukanifata ukalalamika yule dada power mabula wa misungwi sijui mwadui huko anadai ana pic zako nikakuuliza uliwahi kumtumia? Ukajibu hapana na ukawatukana kinyama nikakwambia potezea..!!

Ukaja kurudi hapa unalalamika blah blah nyingi sijui watu wanasema wewe muongo pic sio zako nikaishia kucheka tukakutania na coca tukapita hivi.. kumbe bado una vinyongo vyako leo umekuja umebwata na kuharisha km bata hata sijakuelewa na sijakuzingatia zaidi ya kucheka na mpaji Mungu na kutaniana naye..!!

Sasa mimi mwenzio mama wa mambo kwa ushahidi sema hapa dukuduku lako lote likutoke acha kujaza mate mdomoni km una mimba..!!

Ongea tumalizane.
Mimi na wewe hatujuani kokote na hatujawahi hata kuonana..!!
Nini shida?
 
Upumbavu mtupu.
Kutaka kujipa umuhimu tu JF na kujifanya wanajua watu PUMBAVU..!!

Waselfike niwasifie waache midomo km watoto wa ndege waliotelekezwa..!!

Nyoko nyokooo muda wote km wamechukuliwa bwana kitu gani? 😏

Hapa sina bwana JF wananichukia!!
Ningekuwa naye je?
Si wangetema mate km wajawazito wa Amana mtsiewwww..!!
 
Oooh kumekuchaa sasa, 😂😂😂😂
 
Mda mwingine Nyege zinasababisha bipolar za kiwakiii.
Ndio maana mie sijivungi kwa ba tamu, mda wote shangwee tuu.

😂😂😂 watu watafute mabwana na mabibi wa kuzagamuana nao, kupunguza Jam ya makasirikooo.
😂😂😂
 
Oooh kumekuchaa sasa, 😂😂😂😂
Mwanaume kufanya mafumbo huwa sipendi kabisaa..!!

Kila muda mtu kajaa gesi tumboni ndo nini?
Mi ujue mpaka nifikie huku ujue huyo mtu kanichefua haswah..!!

Halafu ndo udate na mtu humu km wanaume wenyewe ndo hawa duh!!
 
Mda mwingine Nyege zinasababisha bipolar za kiwakiii.
Ndio maana mie sijivungi kwa ba tamu, mda wote shangwee tuu.

😂😂😂 watu watafute mabwana na mabibi wa kuzagamuana nao, kupunguza Jam ya makasirikooo.
😂😂😂
Watombweee bhasi watulie ebooh 😏
 
Mwanaume kufanya mafumbo huwa sipendi kabisaa..!!

Kila muda mtu kajaa gesi tumboni ndo nini?
Mi ujue mpaka nifikie huku ujue huyo mtu kanichefua haswah..!!

Halafu ndo udate na mtu humu km wanaume wenyewe ndo hawa duh!!
😂😂😂 uduguu kuna wanaume humu na robo 3, amini nakuambiaa.
Si unajua kuna mtu na mtu. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom