Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na yule mwingine Papa mobimba, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ndio anajifanya ndumi la kuwili,.

Ko kumbe uzi ulitembea kuhusu Suala la gugo lenzi? kumbe watu humu ni wapyaa eeeh??
Watuache makontawa wenye uzi wetu, tuko nao sako kwa bakoo, walitukuta na watatuacha..
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น le mutuz
Yani hata km hutaki kugombana unalazimishwa..!!

Hatuondoki labda Max afunge JF
 
Tunalisha ndondocha nyama, unga hawataki siku hizii.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ misukule ya miaka hii imechangamka sana.
Watu wadhazoea mishikaki ya miambili mbili na vipweza vya mia mia sahiz muwalishe unga wee kuweza wapeni supu wapeni hata supu ya mapupu ๐Ÿ˜€
 
Aniombee kipindi Azam nikawachambe ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Mbaga nilikuwa namuheshimu ujue nilimchukulia km mshkaji kaniumiza sana kujihusisha na mambo ya kike..!!

Kwa alivyojiweka humu na mambo ya kike Hata hayampendezi..!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ umechelewa kumsoma labda, yuko hivyo siku zote.
Ndio maana siku naona picha yake nilimchana, hufanani na mambo yako, aka react, ya humu ni ya humu, nilimuelewa pia.
 
Na mimi nimo?
Mtanionea tu. Labella ni rafiki tu kama wewe Lamomy ila akinipa sikatai, nawika fresh tu๐Ÿ˜

Weka picha wafwe kabisaa
Labella ndo mimi, na hizo shengesha zote zimeanzia juzi. Ila jana sasa ndio presha zikawapanda ndio km hivi..!!

Jogoo huyo kwiyooo ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Watu wadhazoea mishikaki ya miambili mbili na vipweza vya mia mia sahiz muwalishe unga wee kuweza wapeni supu wapeni hata supu ya mapupu ๐Ÿ˜€
Shangazii leo mjomba kakupa nini? Sijakuzoea hivii? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Labella ndo mimi, na hizo shengesha zote zimeanzia juzi. Ila jana sasa ndio presha zikawapanda ndio km hivi..!!

Jogoo huyo kwiyooo ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mbona kwiooo.
 
Back
Top Bottom