Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,741
- 127,917
Utajiri wangu upo kwenye mashine yangu 😎Nikajua humu wote matajiri buana, ebo🤭
Ila mfukoni n hoe hae
Afu Kwann uniunge kwenye group la kazi afu bado cjapata kazi? Sasa umuhimu wa kuwa na group n upi sasa?
C unaona mpaka nasemwa na umma 😂