Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,108
- 123,356
Kuna kitu nilikuwa sielewi, ila hapa nimeelewa kituHuyu kaka anajisahau sana, yeye na hao wenzake wanajuana kupitia uzi wa kazi na wakapelekana kuungwa group la tsup huko.
Asalamaleko 😂
Kuna kitu nilikuwa sielewi, ila hapa nimeelewa kituHuyu kaka anajisahau sana, yeye na hao wenzake wanajuana kupitia uzi wa kazi na wakapelekana kuungwa group la tsup huko.
We kaka kuna nini tena alfajiri sana unajua eenh🤣Kuna kitu nilikuwa sielewi, ila hapa nimeelewa kitu
Asalamaleko 😂
Wanawake 🙌Mbaga aliniforce kweli nimpe pic yangu nikagoma. Akaamua yeye anipe yake hata hivyo sikuwa na shida nayo coz sijamuomba..!!
Kazi unayo😆Wanawake 🙌
Nilipitiwa na usingizi, Sasa babu yangu kaniamsha nikalime shamba Ndo nikashtuka nikasema em ngoja nipite huku, kumbe mambo yalikuwa mambo humu nilivyolala 😂We kaka kuna nini tena alfajiri sana unajua eenh🤣
Sio mchezo 😂Kazi unayo😆
Relax mdada, mbona mambo sio magumu hvy kama unavyotaka yawe.Aniombee kipindi Azam nikawachambe 😹😹
Mbaga nilikuwa namuheshimu ujue nilimchukulia km mshkaji kaniumiza sana kujihusisha na mambo ya kike..!!
Kwa alivyojiweka humu na mambo ya kike Hata hayampendezi..!!
Namimi ndio nimeamka alfajiri hapa nachochea kuni za makande ya biashara naona selfika notf, nawahi najua connection nakukuta kijana wa nyeto, hehehe leo una kibarua mbona😂Nilipitiwa na usingizi, Sasa babu yangu kaniamsha nikalime shamba Ndo nikashtuka nikasema em ngoja nipite huku, kumbe mambo yalikuwa mambo humu nilivyolala 😂
Afu umesahau kusema nilikuwa nakutaka 😸Silali namsubiri Mbaga aje aseme kinachomtesa kipi? 😹
Hakuna kibarua wala kimemo, hao wote hawanisumbui n vile tuu wamejihisi hvy wakanivamia bure tuu hata sikuwa nawawazaNamimi ndio nimeamka alfajiri hapa nachochea kuni za makande ya biashara naona selfika notf, nawahi najua connection nakukuta kijana wa nyeto, hehehe leo una kibarua mbona😂
View attachment 3603351
Naona Lamomy amejipanga kuniua 😸🤣🤣🤣
View attachment 3603353
Kwani umefanya nini? Jana mpaka nalala sijakuona humu kijanaHakuna kibarua wala kimemo, hao wote hawanisumbui n vile tuu wamejihisi hvy wakanivamia bure tuu hata sikuwa nawawaza
Amka ukapambane na dunia kijana!Naona Lamomy amejipanga kuniua 😸
Ndo siku yangu imeshakucha, nipo barabarani nawauzia Makonda chenchi.Amka ukapambane na dunia kijana!
Kwakweli, mambo ya kuwaza hayajaisha, kauze zako chenchi tu!Ndo siku yangu imeshakucha, nipo barabarani nawauzia Makonda chenchi.
Hao wengine hata hawanisumbui kichwa.
Unakumbuka Kuna siku nilijichanganya nikaanza kukuita mnafiki, then tukamalizana pm kunielewesha?Kwani umefanya nini? Jana mpaka nalala sijakuona humu kijana
Kuna konda wa mabibo hapa amekimbia na pesa yangu, ngoja nimkimbize chap then Nitarudi badae kdg 😎Kwakweli, mambo ya kuwaza hayajaisha, kauze zako chechi tu!
Achana nao mbaga! Mambo ya kufanya ni mengi, ukishamjua mtu hawezi kukuumiza kichwa! Mimi nilikuwaga nabwatuka sana, nikashauriwa mno ndio nikajiona mjinga zaidi, hebu kafanye shughuli zingine huko!Unakumbuka Kuna siku nilijichanganya nikaanza kukuita mnafiki, then tukamalizana pm kunielewesha?
The same thing ndo kilichotokea kati yangu na hao watu, n vile tuu wamejihisi na wala hata sikuwa nawasemea wao.
Bc wanatokwa na maneno Mia kwenye kitu cha kawaida mno, ety najiingiza kwenye mambo ya kike wakati n wao wamejihisi tuu 😂
Nikajua humu wote matajiri buana, eboðŸ¤Kuna konda wa mabibo hapa amekimbia na pesa yangu, ngoja nimkimbize chap then Nitarudi badae kdg 😎