Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

NYC bwoii, punguza mahaba kwa Uduguu, Waja wanajua trip ya kwa maandishi 3 ni kugusa tuu,
Kumbe wala hata, 😂😂😂
We nawe Ntakuchapa 😹😹
Hapo huyo Ambition sijamfungulia pm sa ningefungua ingekuwaje? 😹😹😹

Kwa Kantry nimepigwa mawe mpk wengine wanamtag kwenye nyuzi wajitongozeshe na uzuri wa mweusi akili 2 akawachana “Nitamtooo mpaka akome” wakaona aibu mi nikapita nacheka zangu..!! 😹😹😹

Nyie wapuuzi mniletee vizee vyenu basi niwe mama yenu mdogo, ili nyie muwabebe hawa wanaume ninaotaniana nao..!!
 
Na ndimu kabisaa, km sio chachanduu.
😂😂😂
Mjomba ako kaninunia kalipa ada juz juz alaf mtihani nimepata 5 sasa km akili hazitaki mm nifanyaje jamani anasema anaonea huruma wanae😂😂😂😂😂
 
😂😂😂 umechelewa kumsoma labda, yuko hivyo siku zote.
Ndio maana siku naona picha yake nilimchana, hufanani na mambo yako, aka react, ya humu ni ya humu, nilimuelewa pia.
Basi wana kazi nzito km ni hivyo 😹😹
 
We nawe Ntakuchapa 😹😹
Hapo huyo Ambition sijamfungulia pm sa ningefungua ingekuwaje? 😹😹😹

Kwa Kantry nimepigwa mawe mpk wengine wanamtag kwenye nyuzi wajitongozeshe na uzuri wa mweusi akili 2 akawachana “Nitamtooo mpaka akome” wakaona aibu mi nikapita nacheka zangu..!! 😹😹😹

Nyie wapuuzi mniletee vizee vyenu basi niwe mama yenu mdogo, ili nyie muwabebe hawa wanaume ninaotaniana nao..!!
😂😂😂 uduguuu, em lala kwanii.
 
Mjomba ako kaninunia kalipa ada juz juz alaf mtihani nimepata 5 sasa km akili hazitaki mm nifanyaje jamani anasema anaonea huruma wanae😂😂😂😂😂
😂😂😂 nimechekaa shangazii. Unasoma nini na uzee wote huo?
 
Back
Top Bottom