Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น nimekasirika ujue acha kunichekesha..!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ukasirike na ngenga za Selfika? Aaah unaua brand uduguu.

Ujue huu uzii uko mabegani kwetuu?? Na una tutiii.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ uduguu kuna wanaume humu na robo 3, amini nakuambiaa.
Si unajua kuna mtu na mtu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Labda watu wazima walio jukwaa la siasa ila huko chitchat
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ukasirike na ngenga za Selfika? Aaah unaua brand uduguu.

Ujue huu uzii uko mabegani kwetuu?? Na una tutiii.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mimi aje hapa anieleze shida nini tufunge topic kukaa na kijiba siwezi.
Maana habari za yeye kuambiwa pic sio zake kaniletea yeye. Kazitoa huko kwenye uzi wa hao waliokuwa wanamsema..!!

Ghafla kabadili gia angani anatutuhumu sisi..
Halafu hata hiyo pic yake yenyewe nishaisahau maskini..!!

Wakikaa na power mabula wake wanajazana upuuzi gani sijui? Em Mbaga yaongee hapa tumalizane..!!
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Labda watu wazima walio jukwaa la siasa ila huko chitchat
Ila hii Selfika, maana waliosema picha si zake si ndio hao hao ambao wako nae Pa1 leo?

Huyu kaka anajisahau sana, yeye na hao wenzake wanajuana kupitia uzi wa kazi na wakapelekana kuungwa group la tsup huko.

Labda ndiko walikofahamiania, sasa mengine hatuyafahamu.

Na hii ya Google lens wala sio yeye ndio wa kwanza kujua na kuleta hapa, Babu miga ndio alikuja kutusanua humu, na ilikua mwaka juzi vile, na ndio chanzo cha memba wengi kutoka huu uzi.
Mama malezi, mzigua, espy, shunie, makiseo, simara, yna2, etc.

Wakaona itakua michoreshoo, wakaamua kusepa na heshima/hekima zao.

Wala hakuna jipyaa kabisa.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ uduguu sitakiii kuchekaaa!! Khaaah
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Sasa wanataka nini?
Umefanya nikumbuke enzi ya vin nimepost dollar karuka huyo haamini anaanza kusema fake..!!

Yani humu sijui kwann watu wana visokorokwinyo sana..!!
 
Mimi aje hapa anieleze shida nini tufunge topic kukaa na kijiba siwezi.
Maana habari za yeye kuambiwa pic sio zake kaniletea yeye. Kazitoa huko kwenye uzi wa hao waliokuwa wanamsema..!!

Ghafla kabadili gia angani anatutuhumu sisi..
Halafu hata hiyo pic yake yenyewe nishaisahau maskini..!!

Wakikaa na power mabula wake wanajazana upuuzi gani sijui? Em Mbaga yaongee hapa tumalizane..!!
Power mabula tena, wa kike au kiume ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mimi aje hapa anieleze shida nini tufunge topic kukaa na kijiba siwezi.
Maana habari za yeye kuambiwa pic sio zake kaniletea yeye. Kazitoa huko kwenye uzi wa hao waliokuwa wanamsema..!!

Ghafla kabadili gia angani anatutuhumu sisi..
Halafu hata hiyo pic yake yenyewe nishaisahau maskini..!!

Wakikaa na power mabula wake wanajazana upuuzi gani sijui? Em Mbaga yaongee hapa tumalizane..!!
Picha gani si hiyo yuko kwenye Ofisi za Azam Media Ltd, hadi mwafula kasema ataanza kumuogopa, sijui wanamchota nani hasa, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mie najionea mauza uza tuu, aaaah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Sasa wanataka nini?
Umefanya nikumbuke enzi ya vin nimepost dollar karuka huyo haamini anaanza kusema fake..!!

Yani humu sijui kwann watu wana visokorokwinyo sana..!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nimecheka hadi kupaliwaa, Vin kuumbuliwa kujifanya yuko eyapoti ya ufaransa, kumbe yuko kigamboni Mwembe radu.
Ila Selfika ilikua full drama, full heka heka, nywi nywi nywi za kushatooo.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
We nawe umechangia kufanya watu wavimbe. Uache kunichombeza kuselfika..!!

Kuna mishangazi inakuelewa inaona km umezama kwa labella kumbe hamna lolote..!!

Hii mipovu yote imewatoka kisa jana na leo kuweka pics zangu hapa..!!
Na mimi nimo?
Mtanionea tu. Labella ni rafiki tu kama wewe Lamomy ila akinipa sikatai, nawika fresh tu๐Ÿ˜

Weka picha wafwe kabisaa
 
Back
Top Bottom