Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,355
- 9,432
Sahivi macho mengi ngoja nipiteItabidi nikae attention, maana nikipoteaga jf ni nimepotea mazima, nitakuta ushapita mpaka kupitiliza..
Ni blesa hata sasa hivi tu
Sahivi macho mengi ngoja nipiteItabidi nikae attention, maana nikipoteaga jf ni nimepotea mazima, nitakuta ushapita mpaka kupitiliza..
Ni blesa hata sasa hivi tu
Nipo stand bySahivi macho mengi ngoja nipite
Ameeeen 😹Lord have mercy..
Pacha pacha arrgh astakafirulahi, majaribu gani 😅Ya mwisho nikapige umbea na uduguu wangu WhatsApp 😹
Lady in red🔥🔥🔥Ya mwisho nikapige umbea na uduguu wangu WhatsApp 😹
UsitokeNipo stand by
😹😹😹Hizi rangi mta sababisha nipate mzuka wa ajabu
Namaanisha hapo kwenye makaveli kugeuka Shakespeare wa mahaba.Njaa haijawahi kumpendeza mtu, mengine tunafanya sababu ya njaa tu
REply hapa nipate msg harakaUsitoke
Wachukue maboya wasioelewaYa mwisho nikapige umbea na uduguu wangu WhatsApp 😹
Mnaitana tena jamani 🙆♀️
MAkaveli si mtu wa angle zoteNamaanisha hapo kwenye makaveli kugeuka Shakespeare wa mahaba.
Si ndio hapo sasa, 😂😂😂😂Watuletee majibu wao na huyo Ai wao 😹😹
Sasa km wana misura mibaya wanafikiri wote tunafanana? 😹😹😹
Mbona mi najikubali tyuuu!!
Mbaga umeibiwa bwana?Wachukue maboya wasioelewa
"Speaking from my heart damn she so sexyAmeeeen 😹
🙏😅 sasa fanya kufuta hii CommentJapo umeficha sura ila ni 🔥🔥
Kwa heshima yako🙏😅 sasa fanya kufuta hii Comment
Wanachekesha mara sijui wako kwa Ai wanatoa emoji mara wanapelekwa kwenye page. Ai em awalete kwenye gallery yangu chap wasituchoshe..!!Si ndio hapo sasa, 😂😂😂😂
🙏 nikalale sasa 🚶♀️Kwa heshima yako
I know youMbaga umeibiwa bwana?
Mbona una makasiriko sana? 😹
Vipi Mr Ai