Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,994
- 13,311
Hio mbaya inabidi nianze pitia comments moja moja wazifuteWatu wakikureply kwenye picha haifutiki inabaki, inabidi ukipita watu wasiquote ile picha yako.
Ila wabongo sasa hawasikiii 🙌
Hio mbaya inabidi nianze pitia comments moja moja wazifuteWatu wakikureply kwenye picha haifutiki inabaki, inabidi ukipita watu wasiquote ile picha yako.
Ila wabongo sasa hawasikiii 🙌
Duh🤣🤣🤣🙄Nlitaka nikutolee mfano wa binti mkali JF sema nliona wenzako watajiskia vibaya.
Tumewaachia muangalie na nyie mliokuwa offline mwee🤣Watu wakikureply kwenye picha haifutiki inabaki, inabidi ukipita watu wasiquote ile picha yako.
Ila wabongo sasa hawasikiii 🙌
Magical girl wa kuchovyaNa ninamuoteaga sana 😂 sema humu nina bahati napo sana
Pita basi mamaake nataka kwenda ibadani🥲Duh🤣🤣🤣🙄
Yupi tena? 😹Mahi wako amepita naked 🔥🔥
Zangu zipo wapi mahi🤣Watu wakikureply kwenye picha haifutiki inabaki, inabidi ukipita watu wasiquote ile picha yako.
Ila wabongo sasa hawasikiii 🙌
Ni mbaya kweli mimi ndiyo maana niliacha kupita humu mambo hayo hayo Dc akasave picha yanguHio mbaya inabidi nianze pitia comments moja moja wazifute
Ambition plusYupi tena? 😹
Sitaniwi ujue Poker 🤣Tuma namba uokote ShesRise_1 nishauza gunia moja tayari
😹😹😹 Mpuuzi yule..Hapa labda nimtumie mbaga picha nimpe na showergel ya dove akasisimue Misuli
😂😂😂 aku sitaki hayo mamboTumewaachia muangalie na nyie mliokuwa offline mwee🤣
Sasa chicca unatakaje kila kitu hutaki?😆😂😂😂 aku sitaki hayo mambo
Winga wa ku chovya 🤣😹😹😹 Siwezi bana nazingua tu kijiwe kichangamke..!!
Gallery yangu imejaa pics za vijora mi nawaza pesa nitazitoa wapi..!!
Iini tena jaman?
Hebu pita bwana😹😹😹😹 Endeleeni kuselfika waungwana..!!
Nimeona umeweka sura 😍Please ni tag ni comment ipi? Bhasi ziko nyingi humu
😂😂😂 subiri utajioneaZangu zipo wapi mahi🤣
Nioneshe wewe hapo 🤣😂😂😂 subiri utajionea