Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,252
- 21,398
Hakuna cha cheap, hujui tu navopambana kuuza huu mkaa wangu uishe. Kisha uone msg ya imethibitishwa kwa simu yako.Mie cheap kuniona chap shemela😅😅
Hakuna cha cheap, hujui tu navopambana kuuza huu mkaa wangu uishe. Kisha uone msg ya imethibitishwa kwa simu yako.Mie cheap kuniona chap shemela😅😅
Umenipa bonge moja ya assist tatizo wadada hawataifanyia kazi.Kwa maandishi ya mtu unaweza kukisia ni mtu wa design gani, huwa nakuona ni mwema hata kucheat hujui😎
Sawa ba mkaliWe sitaki uteseke nakukatia bima ya maisha.
Vimba mama!Sawa ba mkali
Ba mtu🤣
Humu kumekaa kimitego sana, japo nilishawahi kupata mchuchu ila siku hizi ananipondea kiaina🙄Kuna wewe kupita tu la mama😁
Kuna uzi umesema madem wote wa jf wabaya😆🙌🤔Nan kasema?
Hebu tetemesha server za Maxemello
Maneno haya sio mageni jijini aisee 😅Hakuna cha cheap, hujui tu navopambana kuuza huu mkaa wangu uishe. Kisha uone msg ya imethibitishwa kwa simu yako.
Najua sasa hivi hayupo bwana nibless j2 yangu beer zangu zishuke💃🏽Humu kumekaa kimitego sana, japo nilishawahi kupata mchuchu ila siku hizi ananipondea kiaina🙄
Sina picha mpya ma mkaliPita mama mchunga hilo swala la uzuri liko machoni kwa muonaji wala sio swala lako kabisa, ondoa hofu😀
Kwani we ni ke au me 🤔Humu kumekaa kimitego sana, japo nilishawahi kupata mchuchu ila siku hizi ananipondea kiaina🙄
Si ndio mapenzi yalivyo kwa sisi wabongo, mara chache sana kuachana kwa aman na tusisemane kwa ubaya, mazuri yote kapuni.. tupia picha tufurahiHumu kumekaa kimitego sana, japo nilishawahi kupata mchuchu ila siku hizi ananipondea kiaina🙄
😂😂😂😂Umenipa bonge moja ya assist tatizo wadada hawataifanyia kazi.
Thubutuuuuuuuuuuu, sio kwa JfNajua sasa hivi hayupo bwana nibless j2 yangu beer zangu zishuke💃🏽
Haya nimekosa uwifi mieDuh basi tena hao kwangu wadogo
😄😄😄😄 et kipofu kaona mwezi wakati ndo linazidi kulegeaNikitia mjani tu, nikiwa mzima linatoka kama kipofu kaona mwezi😁
Walimwengu utawaweza? Kwanza tumwone anayesema anafananajeKuna uzi umesema madem wote wa jf wabaya😆🙌🤔
Halafu mishangazi
Nipo katikati yaoKwani we ni ke au me 🤔
Hakunaga kati kati 🤣Nipo katikati yao
mbona haujatuita tukamuone huyo hensam wa JF😄Kuna uzi umesema madem wote wa jf wabaya😆🙌🤔
Halafu mishangazi