Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mm watu wengi sipendi aisee.... Ni kama station ya sgr dodoma ukiingia ukiwa unaenda sehemu za kukaa kila mtu anakuangalia. Afu watu wengiiii... Sirudii tena
Hata mimi hua na aibu ila golden fok ya sinza haina wingi huo 😀

Hapo kwenye SGr kama mwezi hivi umepita nilikua hapo kulikua na msafara umepita so watu wote hakuna ku move tumerundikana sehemu moja
Aisee niliteseka nilimaliza mikao watu naona kama wananiangalia mimi tu heh

Hii nilijua hunikumba mimi tu kama leo ni weekend sijatoka njee kwanzia jana jioni
 
Cinderella shoes.jpeg
 
Yaani huko wanawake wanajiona wazuri Wana tabia ya kudharau wengine mradi awe mweupe tu!!!!!
Ni kweli Mzee mwenzangu, huyo nimsemaye alikuwa mweupe na mrefu kama twiga ....just imagine

Koh koh koh 🤭
Hii ya dawa ndio nasikia kwako kiukweli.
Seems hujakaa sana kule, watu wana vitu vya kutoka gamboshi
 
Hata mimi hua na aibu ila golden fok ya sinza haina wingi huo 😀

Hapo kwenye SGr kama mwezi hivi umepita nilikua hapo kulikua na msafara umepita so watu wote hakuna ku move tumerundikana sehemu moja
Aisee niliteseka nilimaliza mikao watu naona kama wananiangalia mimi tu heh

Hii nilijua hunikumba mimi tu kama leo ni weekend sijatoka njee kwanzia jana jioni
Weka mshape nione mahi 😹
 
Back
Top Bottom