Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapi walikosema kidampa na mwanaume?
Huko sijaona, Ila nimeingia nimekuta pics nyingi nimekuhifadhia masijala ujionee..!! 😹😹😹

Leo nilikuwa busy na wakaka tu kwa wadada sijaona maajabu kivile..!!

Em selfika kwanza tutingishe mji
😂😂😂😂 Selfika ina heka heka, unaambiwa picha inawekwa, afu wanaenda kutafuta Eiyai iwapeleke kwa muhusika halisii.

Mbona mabwakuuuu!! 😂😂😂😂
 
Mimi nina jicho la rohoni mkuu ninaona.

Unakumbuka? Tokea enzi zile unalike tu haucomment nilikuwa nakuona kwa hili jicho la kitaalam.

Acha nisiongee sana nitaonekana mshamba...
I remember 😅 ulikuwa rafiki yangu before hujui hata mwandiko wangu

Ongea bhana na upite nakusubir ujue
 
😂😂😂😂 Selfika ina heka heka, unaambiwa picha inawekwa, afu wanaenda kutafuta Eiyai iwapeleke kwa muhusika halisii.

Mbona mabwakuuuu!! 😂😂😂😂
Watuletee majibu wao na huyo Ai wao 😹😹
Sasa km wana misura mibaya wanafikiri wote tunafanana? 😹😹😹

Mbona mi najikubali tyuuu!!
 
Back
Top Bottom