mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,061
- 4,847
Asante Sana mndughu..
Dah... Pole sana mwana
Dah... Pole sana mwana
Ahsant na nshatua mizigo yangu Hivyo![]()
Ndiyo ukubwa huo....mwanaume makovu
Aisee...
Aise pole sana mkuu,, hakika Mungu ni mwema..
hivi vidonda ni kama vya bongo movie
Aisee pole Mungu ni mwema .
Aisee pole sana!
Pole sana mkuu
pole sana
Asante Sana..hakika atanivusha salama
Pole mkuu ila pikipiki hapana aiseeh ni mara kumi bajajiBlaza hii imenipata leo hasubuh mida ya saa mbili..nikiingia kazini sio utani
Napanda kitandani kabisaaa nipumzikeKaribu kiti jisikie uko nyumbani kabisa
HahahahaSijui kwa nini kila nikikuona humu huwa namkumbuka na Shunie.
Halafu naanza kucheka.
Hahahaha, lkn si ndio imemsomesha na kuumpa hy status ? Ila sio mbaya acha babu nae ale matunda ya mshua wakoAaaah mshua tu aliamua kuogopa status yake, si unajuwa wanadamu bhana wanaweza judge mwana Ana status afu dingi anagema ulanzi inakuwa jau
Napanda kitandani kabisaaa nipumzike








Mimi nakula samaki wa plastiki kwa macho, nikimpata sato wa kweli ntamla pande zote.View attachment 1288058