Mate yamenitoka chwaaaaaaaaaTunaandaa hapa View attachment 1287989
Babu yangu ndio alikuwA mgemaji maarufu kijijini kwetu, kabla mshua hajampiga stopHahahaha
Tulichinja then...Mate yamenitoka chwaaaaaaaaa
NaamBabu yangu ndio alikuwA mgemaji maarufu kijijini kwetu, kabla mshua hajampiga stop
Huku JF hakuna mtoto kila mtu ni mkubwa, umri ni namba tu
Tunaandaa hapa View attachment 1287989
Hahahaha, asee ,safi sana,kwann sasa alimpiga stop ?Babu yangu ndio alikuwA mgemaji maarufu kijijini kwetu, kabla mshua hajampiga stop
Mkuu unafanya utalii wa ndani
kulikoni Mkuu?.Mbinguni itakua hadithi huyu

?
Hahahaha
Napokupendaga hapo tu Dada huwa hujibani kwenye maisha. Ni full kujiachia
Where is ya Rotimi?
#MiamiVice
Shogangu camera inakuangushaila ni bonge moja la picha