mimi43
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 410
- 423
ndio ndio mkuu nilikuwa napunga upepo hapo kwenye vibweta vya libraryNaiona sua admin kwa nyuma
ndio ndio mkuu nilikuwa napunga upepo hapo kwenye vibweta vya libraryNaiona sua admin kwa nyuma
Mbinguni itakua hadithi huyu
Nimependezwa sana na hii stailiMchana na uwe mwema kwenu wakuuView attachment 1287563
Duuh pole Sana mdau mungu akusaidie upone salamaLeo nimekoswa koswa na Israel..ajali ya pikipiki sio POA..View attachment 1287805View attachment 1287806
woii hivi kwanini under 25 tunaonekana watoto huku JF?? Wakati wengine kila tukifokewa utasikia "muone kule mama mzima unalala hadi saa hii ungekuwa kijijini umri huo umeshaolewa na una watoto wanne"
halafu unaingia huku JF unakuta mtu anakuita "toto" (nimebana pua
) khaa!!
by the way waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 na kuendelea ndiyo angalau tunaweza tukawaita watoto
Pole jamaniLeo nimekoswa koswa na Israel..ajali ya pikipiki sio POA..View attachment 1287805View attachment 1287806
Hahaha me hata 20 sijafika bado Ila home wananitreAt kikubwa Sana huko kijijiniwoii hivi kwanini under 25 tunaonekana watoto huku JF?? Wakati wengine kila tukifokewa utasikia "muone kule mama mzima unalala hadi saa hii ungekuwa kijijini umri huo umeshaolewa na una watoto wanne"
halafu unaingia huku JF unakuta mtu anakuita "toto" (nimebana pua
) khaa!!
by the way waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 na kuendelea ndiyo angalau tunaweza tukawaita watoto
Leo nimekoswa koswa na Israel..ajali ya pikipiki sio POA..View attachment 1287805View attachment 1287806
Poa, Leo location yako inasoma wapi?
Ndiyo ukubwa huo....mwanaume makovuLeo nimekoswa koswa na Israel..ajali ya pikipiki sio POA..View attachment 1287805View attachment 1287806
Mkuu unafanya utalii wa ndaniJamani jamani mjengo gani mie nlipenda hao nyani na miti
Vijana mnatumika sanaMkuu leo nipo nipo nnaumwa balaa, shughuli ya jana ilikuwa pevu
Leo nimekoswa koswa na Israel..ajali ya pikipiki sio POA..View attachment 1287805View attachment 1287806