amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Hata mimi siwezi kununua simu kwa mtu ambae si mtunzaji.
Inakuwa kama natupa tu hela.
Inakuwa kama natupa tu hela.
Shoga angu shemeji yakO kagoma kununua simu ila ndo ntafanyaje sasa na mie hela sina







