Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hili zoez inabd nisimame kwa muda..roho inauma ila ndo ivo..goti kwishnei..View attachment 1288064
Wengi wanalikosea hilo. Halipigwi hivyo. Hivyo wanapiga wazee. Kama ulivyoiweka nyanyua magoti juu. Hilo linapigwa kama push up,magoti yasiguse chini. Nenda nalo mbele,rudi nyuma. Angalia usije ukaangukia meno kwa sbb unaanza. Utagundua tofauti na ulivyokuwa mwanzo. Kwanza tumbo likaza sana. Kwa mara ya kwanza ngozi ya tumbo itakuuma
 
Daah hizi dharau sasa,, mie nina sura ya kiutu uzima eti..

Kwa mara ya kwanza nilipewa simu mwaka 2014 mwanzoni kipindi cha likizo ya kumaliza form 4 tena ni baada ya matokeo kutoka,, ila JF nimeijua muda sema basi tu..
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wewe ni mwanafunzi wangu kabisa, unaanza form 1 mie niko mwaka wa4 kazini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_15760418247207078.jpeg
 
Hahah...leo mkwe ndio sasa nimeelewa habari ya pensheni...
We siku ile si tuliongelea mambo ya baba mkwe ukaniambia nataka tu pension. Ukasema upo kazini kuhakikisha baba mkwe anapatikana. Nilipokuuliza si hukuelewa[emoji12][emoji12][emoji12]
Usielewege hivyo hivyo mkwe wangu wa faida.
 
Back
Top Bottom