Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,781
Hiyo voice iko gorgeous tu sana.Khaaaa!!
Hiyo voice iko gorgeous tu sana.Khaaaa!!
Bado moja kukaukaView attachment 1285957
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha wewe nakupa muda ngoja unizoee utajua ninavyoongea yaani hadi utakuwa unaona kero kuongea na mimi,, wanaoweza kunivumilia ongea yangu ni wachache.. maana ukiachilia mbali kuongea haraka pia nina tone moja mbovu sana
Kuna siku tulikuwa tunachat kwa group nikatuma voice note aise badala ya kuendelea kujadili mada iliyokuwa mezani watu wakaanza kujadili voice note yangu eti E huyo ni wewe kweli mbona sauti mbaya hivyo,, kuanzia siku hiyo nikajiapiza kutotuma voice note kwa mtu yeyote except kwa wale walionizoea.. yaani niko radhi nishushe essay kuliko kurecord voice note
Dah...yaani hili Jina dah[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hapa ni ulikua somewhere karibu unaitafuta kitonga hivi, nimepatia eeh!GIF video kutoka katika safari yangu ya dar-iringa hapo jana.
taja jina la eneo linaloonekana kwenye gif?.View attachment 1284548
Asante....leta na hiyo throwback
...and there you're...heheh!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
I know exactly what you saying dearie[emoji6]
Hiyo voice iko gorgeous tu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitumie niprove
Dah...yaani hili Jina dah
Hahaaa.Bad news man, it's Bad news. Niliwahi kuletewa na mtu nikapuliza, njiani kuna mama wa makamu alinifuata akaniambia mwanangu unanukia vizuri naomba nikukumbatie kidogo tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] It was weird.....
Nilikuwa nikiingia sehemu tu, lazima liwe gumzo na samahani kaka umepaka perfume gani nataka nimtafutie mume wangu. Sema ni kichupa kidogo mno. Ilivyoisha nikaachana nayo nikaanza tumia CK One tu.
Itafute mzee, utanipa feedback hapa.View attachment 1285866
Umedamshi bi mama.Sunday njema kwenu.View attachment 1285364
Utatakiwa kuandaa na gunia mbili za mkaa, au utakodi bunduki yenye risasi 3.Ukihitaji kuongeza elimu niambie niko tayari.