Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha wewe nakupa muda ngoja unizoee utajua ninavyoongea yaani hadi utakuwa unaona kero kuongea na mimi,, wanaoweza kunivumilia ongea yangu ni wachache.. maana ukiachilia mbali kuongea haraka pia nina tone moja mbovu sana

Kuna siku tulikuwa tunachat kwa group nikatuma voice note aise badala ya kuendelea kujadili mada iliyokuwa mezani watu wakaanza kujadili voice note yangu eti E huyo ni wewe kweli mbona sauti mbaya hivyo,, kuanzia siku hiyo nikajiapiza kutotuma voice note kwa mtu yeyote except kwa wale walionizoea.. yaani niko radhi nishushe essay kuliko kurecord voice note
Nimemiss kisauti chako
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nimecheka....lakini mbona sauti yako iko fresh jamani? Au kwa kuwa ilikuwa ni usiku ukawa unanidekea
 
na Mimi huwa nasimulia hatua kwa hatua
Kwanza story inanogaje, taratibu.
Hutaki kusikiliza basi sikusimulii
woii yaani pale ndiyo uliongea haraka?? Watu kama ninyi siwezagi kabisa kuwasikiliza mkiwa mnasimulia jambo yaani naona kama mnachelewa kumaliza,, kuna watu wengine wakianza kusimulia huwa nawaambia tu "hey just skip to the end"..
 
IMG_0821.jpg
 
Back
Top Bottom