Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,107
Hahahaha, sasa babu ningepiga tarumbeta
Bilauri imeharibu
Bilauri imeharibu
KabisaaaAu siyo
😆😆That's ma dawg
Halafu hivi yule kaka kwenye lile tangazo la Tik Tok ni wewe?? Maana naona kama mmefanana hivi!!
Wali wa Wachina View attachment 1286024
Wali wa Wachina View attachment 1286024
hamna mnofu wa kenge kweli?
Tangazo lipi hilo?
Rombo moja hiyo.Lake CHALAView attachment 1286051
Lina nini mama?Dah...yaani hili Jina dah
Lake CHALAView attachment 1286051
Na wewe unatumia dual space mama?La Tik Tok lipo kwenye apps kama Dual Space ukiwa unafungua
Okey okey!! 🤔🤔🤔vipi na wewe umewaza kama mimi nini?? Ila daah Jael yuko serious huyo yaani hacheki na kima.. bora hata Atoto (ambaye naye tulimlalamikia tukasema bora hata espy)
![]()
Na wewe unatumia dual space mama?
Niiiceeee
And no...am not that pretty.
Okey okey!!![]()
Yeah nishalijua..Yah natumia,, ushalipata eenh?? Nalipendaga sana lile tangazo