Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe na wewe unaongea haraka??
Sema mimi nahisi sababu ya kigugumizi ndo maana naongeaga haraka haraka
Hahahaha wewe nakupa muda ngoja unizoee utajua ninavyoongea yaani hadi utakuwa unaona kero kuongea na mimi,, wanaoweza kunivumilia ongea yangu ni wachache.. maana ukiachilia mbali kuongea haraka pia nina tone moja mbovu sana

Kuna siku tulikuwa tunachat kwa group nikatuma voice note aise badala ya kuendelea kujadili mada iliyokuwa mezani watu wakaanza kujadili voice note yangu eti E huyo ni wewe kweli mbona sauti mbaya hivyo,, kuanzia siku hiyo nikajiapiza kutotuma voice note kwa mtu yeyote except kwa wale walionizoea.. yaani niko radhi nishushe essay kuliko kurecord voice note
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
I know it sounds weird, mimi mwenyewe niliishiwa na pozi: It was weird [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimeenda nyumbani kwa mchizi wangu dada yake hanifahamu, ile natoka akanifuata akaniuliza jina. Kachupa kadogo tu, kana bei kubwa hako na mpaka leo sijaona perfume iliyowahi nivutia kama ile.
 
Dah ngoja nifanye Featuring
FB_IMG_1575779805273.jpeg
 
I know it sounds weird, mimi mwenyewe niliishiwa na pozi: It was weird [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimeenda nyumbani kwa mchizi wangu dada yake hanifahamu, ile natoka akanifuata akaniuliza jina. Kachupa kadogo tu, kana bei kubwa hako na mpaka leo sijaona perfume iliyowahi nivutia kama ile.
Okey.
 
Haha no mie sina kigugumizi,, ila basi tu sijui kwanini huwa naongea haraka halafu nina bass sasa.. double trouble kama siyo triple threat maana kuongea haraka tone mbaya mixer na bass mambo yanakuwa ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kumbe na wewe unaongea haraka??
Sema mimi nahisi sababu ya kigugumizi ndo maana naongeaga haraka haraka
 
Mwandiko wako tu wajeiefu waonesha umejaaliwa maneno...

Don reply back please [emoji4]
Haha no mie sina kigugumizi,, ila basi tu sijui kwanini huwa naongea haraka halafu nina bass sasa.. double trouble kama siyo triple threat maana kuongea haraka tone mbaya mixer na bass mambo yanakuwa ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Haha no mie sina kigugumizi,, ila basi tu sijui kwanini huwa naongea haraka halafu nina bass sasa.. double trouble kama siyo triple threat maana kuongea haraka tone mbaya mixer na bass mambo yanakuwa ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Byutiful...soooo byutiful 😂🤣
 
Back
Top Bottom