Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Woody Winter
20191208_124422.jpeg

Dolce& Gabbana "The One", Azzaro Pour Himme, Kenneth Coke "Signature", Givenchy Paris, Hugo Boss "Number One", Vera Wang For Men.
 
Hahahaha wewe nakupa muda ngoja unizoee utajua ninavyoongea yaani hadi utakuwa unaona kero kuongea na mimi,, wanaoweza kunivumilia ongea yangu ni wachache.. maana ukiachilia mbali kuongea haraka pia nina tone moja mbovu sana

Kuna siku tulikuwa tunachat kwa group nikatuma voice note aise badala ya kuendelea kujadili mada iliyokuwa mezani watu wakaanza kujadili voice note yangu eti E huyo ni wewe kweli mbona sauti mbaya hivyo,, kuanzia siku hiyo nikajiapiza kutotuma voice note kwa mtu yeyote except kwa wale walionizoea.. yaani niko radhi nishushe essay kuliko kurecord voice note
E enh?! 🤔
Okay😀
 
Hapana mkuu, umeionaje?
Bad news man, it's Bad news. Niliwahi kuletewa na mtu nikapuliza, njiani kuna mama wa makamu alinifuata akaniambia mwanangu unanukia vizuri naomba nikukumbatie kidogo tu. It was weird.....

Nilikuwa nikiingia sehemu tu, lazima liwe gumzo na samahani kaka umepaka perfume gani nataka nimtafutie mume wangu. Sema ni kichupa kidogo mno. Ilivyoisha nikaachana nayo nikaanza tumia CK One tu.

Itafute mzee, utanipa feedback hapa.
social.6273.jpeg
 
Bad news man, it's Bad news. Niliwahi kuletewa na mtu nikapuliza, njiani kuna mama wa makamu alinifuata akaniambia mwanangu unanukia vizuri naomba nikukumbatie kidogo tu. It was weird.....

Nilikuwa nikiingia sehemu tu, lazima liwe gumzo na samahani kaka umepaka perfume gani nataka nimtafutie mume wangu. Sema ni kichupa kidogo mno. Ilivyoisha nikaachana nayo nikaanza tumia CK One tu.

Itafute mzee, utanipa feedback hapa.View attachment 1285866
 
Back
Top Bottom