Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji144][emoji144] silog off mpaka nione

Nipo kwenye blue lights mda huu picha hazitoki poa au nilete throw back?
IMG_0048.JPG
 
Hili eneo linanafanana na Bienville national forest, when on IS20 crossing Mississippi towards Alabama...

Kuna mamisitu kama hayo...
bila shaka ndg yangu.
ni bahati mbaya sijawahi fika mji wa Mississippi, ila kwangu nimepata faraja kusikia kwamba sao hill forest panafanana na hilo eneo ulilotaja.

kuanzia sasa, sao hill forest nitakuwa napaita the mississippi sub area of mafinga.[emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie kucheza huwa nacheza hata nikiwa sober maana napenda sana kucheza ila tatizo mdomo mdomo mdomo mdomo na ninavyoongea haraka sasa mwee [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Mhh! Eti unaongea haraka haraka...mbona ile juzi ulikuwa unaongea kwa pozi?
 
Back
Top Bottom