Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,689
- 43,157
Noma sanaaaaaa brother 😊 😊 hapa nawai sehemu napiga konyagiiii ndogo yangu moja toshaaaaaa nawai home kujipikia kwa Sasa nipo nyumbani peke angu kaka.Hahahaha hata lab coat, umegoma kutoa ni mwendo wa bia tu🍺🍺