Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,309
- 37,071
Nimepitwaa inauma sanaaHii naijuaš„²
Nimepitwaa inauma sanaaHii naijuaš„²
Kaka Kuna haja ya kuwa jasusi haaahaa š š šHii naijuaš„²
Mimi nimepitwa nimekausha 𤣠kwahiyo ni jino kwa jino MkuuNimepitwaa inauma sanaa
Maskini nimepitwaa inauma sana sana ššmin -me nimepita tena useme hujaona
Ngoja niweke kambi hapa niwe kama wale m23 na al quida, al shabab nahaidii siptiiwiiii tenaaaaa šššššMimi nimepitwa nimekausha 𤣠kwahiyo ni jino kwa jino Mkuu
Hujambo mamyNaam Ely.
Karibu tule.
Upo na Rostam Aziz nakuona
Mtu wa kwanza kwenye familia kukutana na Rostamšš.Sio yeye.Upo na Rostam Aziz nakuona
Mkuu mbona umevaa suruali ya mtoto? Huoni za wenzio zimewatosha!
Bana matumizi hiyo .Mkuu mbona umevaa suruali ya mtoto? Huoni za wenzio zimewatosha!
Mpe Hi .. unakula keki ya taifa pole pole is watching you š šMtu wa kwanza kwenye familia kukutana na Rostamšš.Sio yeye.
Usiwaze atii, nilipo sema elimu ya modo nilimanisha watu humu wanadai ni ushoga, kazi ya kishoga kisa mashoga wengi ni modo. Nika hoji polis wa Zanzibar na yule mwalimu alie kuwa analiwa na mwanafunzi wake, mna maanisha nasi tuhitimishe kua hizo kazi ni za mashoga?š¹š¹š¹ Elimu ya mamodo au sio?
Haya tupia hiyo midhambi ya fashoonii tuone š
Usiache nishtuamin -me Dr am 4 real PhD nitapita badae
Kwa kweli amerudii lekcharaa wangu.Hatimaye Lekchara wako amerudi selfika
Bado sijarudi ila have fun mkuu!