binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,104
- 34,396
Kuna mtu anaitwa mshana JR unamjua? Ndiye nilienda kilingeni kwake leo.25 excluded 🫩🫩🫩
kwenye mibuyu kuna waganga wanaishi
25 ninini?
Kuna mtu anaitwa mshana JR unamjua? Ndiye nilienda kilingeni kwake leo.25 excluded 🫩🫩🫩
kwenye mibuyu kuna waganga wanaishi
kwenye status, umewapiga pin watu 25 wasione status yako . sijui ndio nitakuwa na mie mmoja wapo.. goja nicheki Whatsapp 😎😎Kuna mtu anaitwa mshana JR unamjua? Ndiye nilienda kilingeni kwake leo.
25 ninini?
Anhaaa now nimeelewa! Yaani mtu yeyote ninayefanya nae kazi lazima aingie kwenye hilo kapu! Tusijuane kwenye maisha binafsi .kwenye status, umewapiga pin watu 25 wasione status yako . sijui ndio nitakuwa na mie mmoja wapo.. goja nicheki Whatsapp 😎😎
Haya basi selfika!hapana, mie ni guest user . 😊
Yaani sisi tunakutafuta kumbe uko huku?home office pazia kama la pole poleView attachment 3448462
Wakija hapo wote chini, fikia fikia mbinguni kwa sauti ya braza K. unamjua braza K?msije niletea baraaa.. nina msetia mitambo 🤣🤣🤣 subirini hapo hapo wapendwaaView attachment 3448463
Huyu naoa kabisa nipe nambamzabzab huyo nikupe naba yake ?View attachment 3448453
Aisee una kamwili kazuri sana🔥Kitambo mdogo wangu.. 🥰
Dada Lizzy yuko wapi!? Nimemsaka mji mzima sijamuona.
Hakuna wa kutoaWakija hapo wote chini, fikia fikia mbinguni kwa sauti ya braza K. unamjua braza K?
Haya usinicheke lakini na ushamba wangu, Kuna uzi wa selfika humu tulikuwa tunaweka picha ukiweka ufiche kama hivyo ulivyoweka kuna watu wakadai wanaweza kutoa kubakiza sura tu. Je ni kweli?
Ndio maana wengine tunaficha na sticker za wasapu. (Mi ni ngumbaru kwenye mambo ya mtandao)
Sikuzidi… Au umenenepa siku hizi?Yaani aliyemficha Lizzy jamani
Tumemmiss sana.
Aisee una kamwili kazuri sana🔥
Basi nikaogopagaaa 😂Hakuna wa kutoa
Ni mbwembwe tu zile
Hakuna wa kutoa 😀Basi nikaogopagaaa 😂
Nipo vile vile😂sijanenepaSikuzidi… Au umenenepa siku hizi?
Haya selfika baby sis.Nipo vile vile😂sijanenepa
MweeHaya selfika baby sis.
View: https://youtu.be/h7I_9MMcWvk?si=8V5f_XPJmd0VlyNz
min -me Saint Anne Jack Palladino wimbo wa kutafutia usingizi
Haya uniite maana leo umenifuma!Mwee
Nilikuwa busy kidogo,napita kwa kudonoa.
Ntaselfika kesho😂
Na hili Giza sitaonekana
😂😂😂Haya uniite maana leo umenifuma!