ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 927
- 1,927
Natafuna dagaa hapa na wewe unanitamaisha nyama
Dah! Ni elimu tu dada angu ukielimishwa huto sema haya unayo yazungumza.Mwanaume unakuwaje model em njoo unisaidie kuweka dawa mahindi..!! 😹
Halafu nyama ya swala hii🤣🤣Natafuna dagaa hapa na wewe unanitamaisha nyama
Tuonewe hata huruma basi😭Poleni wakaka mnaokataliwa na ambao tatizo ni pesa
View attachment 3447879
C.c MENEMENE TEKERI NA PERESI
Safi sana , tamu mno hiyo ila hata dagaa watam tu😪Halafu nyama ya swala hii🤣🤣
Napenda kutafuna dagaa wakavu wakishapikwa na mchuzi tu basiDagaa Tonge ugalimaharage tam sana
tafuta helaa mkuu, dunia haina huruma in Bukuku voice 🥳🥳Tuonewe hata huruma basi😭
Upo nchi gani kwanza?tafuta helaa mkuu, dunia haina huruma in Bukuku voice 🥳🥳
Ukishasikia mtu anatafuta helaz huyo kaisha jitoa kwenye equation mwenyewe 😅😅😅Upo nchi gani kwanza?
Kwa nini?Ukishasikia mtu anatafuta helaz huyo kaisha jitoa kwenye equation mwenyewe 😅😅😅
Mtu anaetafuta hela, focus yake inatakiwa iwe juu yake mwenyewe kwanza ajijenge na ajimidu kwa 100%, ndipo aende phase two ya kuchunwa 😎Kwa nini?
Sasa nifanyeje ili niweze kupata pesa madam🤔Mtu anaetafuta hela, focus yake inatakiwa iwe juu yake mwenyewe kwanza ajijenge na ajimidu kwa 100%, ndipo aende phase two ya kuchunwa 😎
Jiunge na wahuni au Kina Said Rugumi 😁 Kila mwenye hela ni risk taker, risk equivalent na pesa utayopataSasa nifanyeje ili niweze kupata pesa madam🤔
Sawa mkuuJiunge na wahuni au Kina Said Rugumi 😁 Kila mwenye hela ni risk taker, risk equivalent na pesa utayopata
focus juu yako mwenyewe jijenge mwenyewe kila idara, uwe na maamuzi ya fedha hata sasa hivi ukiiitwa Dubai au Capetown unakata tiketi kesho unaamsha, ila sio unaanza tilalila nyingii mdomoni.. 😅😅 Poyee mkakaSawa mkuu
Kabisa ,huu ushauri nitaufanyia kazi vilivyo.focus juu yako mwenyewe jijenge mwenyewe kila idara, uwe na maamuzi ya fedha hata sasa hivi ukiiitwa Dubai au Capetown unakata tiketi kesho unaamsha, ila sio unaanza tilalila nyingii mdomoni.. 😅😅 Poyee mkaka