Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,849
😹😹😹 Weka yoyote bhanaSasa hivi , sina picha mpya , zaidi ya za nyuma tu
😹😹😹 Weka yoyote bhanaSasa hivi , sina picha mpya , zaidi ya za nyuma tu
Yoyote nitarudia ,nikipiga nita kutag😹😹😹 Weka yoyote bhana
Kumbe utundu ulianza zamani jirani😂😂,.Enzi za mafundisho church hivi vitu tulikuwa tunaonja sana 😹😹
Halafu father alikuwa muholanzi siku aliyotushtukia tulisemwa kwenye misa ya kwanza Hadi ya tatu..!! 😹😹
Sasa kulikuwa na sis angu na shost wake wanaendaga wanakoishi ma father na mafrateli na sisi wadogo zao tukawa tunaunga aiseee nyie hao mafaza wanakula bata sio pouwa..!! 😹😹
Shosti ake sis mpk akazaa na mmoja wao, mengine ni hatari 🤐
Nipo picha irudiweeeeKaka upo?
UsinisahauYoyote nitarudia ,nikipiga nita kutag
Dokta na wewe selfika! Kuna sehemu niliona ulisema wewe ni handsomeUsinisahau
Unafatilia crystal?Kesho kuna pilau kwa jirani mie niponipo tu mpaka saii sijui haka kakichwa kangu ntakafanyeje sina kiuno cha kukaa kusuka na seleka zitaanza mapema sana!
Lovelovie ephen_ min -me naombeni mwongozo pulllliiiiiiiizzzz!!!
Mtanibip kunijuza nifanyeje nimechoka narrarra mieeh!!
Kesho nayo siku wapendwa 💤💤💤💤😴😴😴😴😴😴
😹😹😹 Mi sio mtundu jirani.!!Kumbe utundu ulianza zamani jirani😂😂,.
Haya selfika Kwanza basi,.😹😹😹 Mi sio mtundu jirani.!!
😹😹😹 Wewe jirani yangu pisi kali tupia pic hilo nione uumbaji wa Mungu..Haya selfika Kwanza basi,.
Ntajitahidi weekend haitoi shaa 😁😁😊😊Dokta na wewe selfika! Kuna sehemu niliona ulisema wewe ni handsome
Niko porini huku unahisi nina mpya sasa😹😹😹 Wewe jirani yangu pisi kali tupia pic hilo nione uumbaji wa Mungu..
Niko porini huku unahisi nina mpya sasa😹😹😹 Wewe jirani yangu pisi kali tupia pic hilo nione uumbaji wa Mungu..
Niko porini huku unahisi nina mpya sasa😹😹😹 Wewe jirani yangu pisi kali tupia pic hilo nione uumbaji wa Mungu..
Wewe una akili nyingi sana bwashee 👏View attachment 3449019Never go to a slumber party empty handed
😊 Your love is my fortune, hii nili angalia angalia kina chente.. crystal sijawai angalia nikifika home nakua nimewaka konyagiiii kimtindo + uchovuuu ni kula na kulala yaan usingizii mzitooo balaa sijaangalia kabisa japo wengi wamasema ni nzuriiiUnafatilia crystal?
Upo porini km mimi 😹😹Niko porini huku unahisi nina mpya sasa
Kwanini bossWewe una akili nyingi sana bwashee 👏
Sisi ni wadau waandamizi yaani senior 😊 kwenye viunga vya pombeeeKwanini boss