Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Marhabaanakusalimia mwaya🤣🤣🤣
Marhabaanakusalimia mwaya🤣🤣🤣
Bado unakunywaga tu?View attachment 3448872Its furahi day, mchumba karibu Saint Anne
Naachaje mchumba? 😅Bado unakunywaga tu?
Hii kitu tamu sanaView attachment 3448872Its furahi day, mchumba karibu Saint Anne
Ipo vizuri sana mkuuHii kitu tamu sana
Nipo hapa Rasi 😊
Fanya kamoja basi ,chap kama umemeNipo hapa Rasi 😊
Aiseee!!Naachaje mchumba? 😅
Mida bado ya kuweka pic mchumbaAiseee!!
Hatari sana
Haya weka picha yako sasa
Mida ndio hiiMida bado ya kuweka pic mchumba
😹😹😹Hahahaha kumbe😆 ila picha zangu zote ni mimi ujinga wa kupost picha za mwanaume mwingine na mimi ni mwanaume siwezi fanya kamwe
😹😹😹 Elimu ya mamodo au sio?Dah! Ni elimu tu dada angu ukielimishwa huto sema haya unayo yazungumza.
Asante na karibuuu
Hebu selfika pic ya kueleweka mxiewww 😹Kabali yake chino.
Ss hivi tupia baadae sitaona 😜Nitaselfika tu
Sasa hivi , sina picha mpya , zaidi ya za nyuma tuSs hivi tupia baadae sitaona 😜