binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,110
- 34,405
Sijambo Ely.Hujambo mamy
Akhsante sana nakaribia
Unakula nini mpendwa?
Ilikuwa lunch, tatizo we mchelewaji.
Sijambo Ely.Hujambo mamy
Akhsante sana nakaribia
Unakula nini mpendwa?
wapi huko nije!Upo porini km mimi 😹😹
Hua nasikitika sana wanawake kujifanya hawapendi ushoga jalafu mnamsifu anko t sijui hua mnanini aisee inasikitisha sanaNimeingia insta nimekuta anamchamba Gigy 😹😹😹
Wanaume wanasema arudishe pumb* zao 🤣
Vaa wigi sura mbaya dawa yake makeupUnafatilia crystal?
Vizuri sana kama hujambo bintiSijambo Ely.
Ilikuwa lunch, tatizo we mchelewaji.
Wapi nimesifia ushoga?Hua nasikitika sana wanawake kujifanya hawapendi ushoga jalafu mnamsifu anko t sijui hua mnanini aisee inasikitisha sana
Fullstop, kwishaaaa
Masansa, sasa huku ndo kuna baridi na vumbi la kutosha..!!wapi huko nije!
Baridi limenishinda huku.
Weka picha maneno mengi ya nini?Usiwaze atii, nilipo sema elimu ya modo nilimanisha watu humu wanadai ni ushoga, kazi ya kishoga kisa mashoga wengi ni modo. Nika hoji polis wa Zanzibar na yule mwalimu alie kuwa analiwa na mwanafunzi wake, mna maanisha nasi tuhitimishe kua hizo kazi ni za mashoga?
Kama hamtaki tuwe na modo ea kiume mnamanisha nguo za wanaume zitangazwe na wanawake sio?
Kuhusu kuachia kazi Kuna utaratibu tatoa hivo tuwe na subira.
Asante na karibuu dear lamomy
Ule muonekano wake, mwanaume kuvaa Dera ume ridhia. Ume ridhia mwanaume kukatika kupaka lip stick cjui lip bam? Kuna kijana juzi hapa kujitambulisha ye ni modo tukampopoa hizo kazi za mashoga, we Leo unamsema anko t Tena bila hofu ili hali wanaume wote tuna mashaka NAE, nikisikia kesho unausema ushoga vibaya takukunbusha mremboWapi nimesifia ushoga?
Anko t ni shoga?
Wewe umejuaje km shoga?
Mliwahi kufanya ushoga pamoja ndipo ukamtambua?
Anko t namsema kivipi?Ule muonekano wake, mwanaume kuvaa Dera ume ridhia. Ume ridhia mwanaume kukatika kupaka lip stick cjui lip bam? Kuna kijana juzi hapa kujitambulisha ye ni modo tukampopoa hizo kazi za mashoga, we Leo unamsema anko t Tena bila hofu ili hali wanaume wote tuna mashaka NAE, nikisikia kesho unausema ushoga vibaya takukunbusha mrembo
Fullstop,kwishaaaaa
Hahaaaa usha sahau mara hii tu umenambia nani kanambia kuwa anko t ni shoga, na uhakika Gani saivi Tena umeruka ok tuyaacheAnko t namsema kivipi?
Unajua inawezekana una hoja Ila kwenye uwasilishaji ndipo unaponichanganya..!!
Mwanzo umesema namsifia ushoga wake.
Sasa hivi unasema anakatika na wanaume wote mna mashaka naye..!!
Swali langu; Wapi nimesifia ushoga wa anko t?
Kazuri
Hii sio mbegeSema wachaga mbege mnaisifiaga Sana,. Anyway ni tamu Gily Gru View attachment 3450109
Mbege nyekundu😅😅 umepigwaNi yenyewe min,. Kwanini?,😅View attachment 3450110