min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,587
- 164,827
Mhm mimi au?Huyo anasomea architecture MUST 😹😹
Mhm mimi au?Huyo anasomea architecture MUST 😹😹
Wewe usimsikilize lamomy, tayari kaishavuta MARIJUANAMaweeeeeeeeeeh 🙆♀️, jamani imekuwaje tena nikakosa kuliona likaka lihandsamu 😍
makaveli10 , makaveli10 , makaveli10 - nimekuita mara tatu, hebu niwekee hicho kitu 📸 roho ifurahi 😂😂😅
Hebu nikuone na wewe...nikija daslam naomba niwe nakusaidia kuchana huo uchebe 🤗😋
Sasa lile ombi langu vipi!?Imeisha maka wangu 😍😍
Unakuwa muhanshamu halafu husemi mfyuuu..!! 😹😹😹
Nitaje mzigo kivipi tena min wakati nyie mnapewa bure?? 😹😹🤣Taja mzigo ,mimi nakupa hata nguo zangu bure tu
Acha story, tupia hicho kitu buana 📸Wewe usimsikilize lamomy, tayari kaishavuta MARIJUANA
🤣😂
Nipe 500k. natuma mzigo wa pesa bure kabisaNitaje mzigo kivipi tena min wakati nyie mnapewa bure?? 😹😹🤣
Mangi umeanza tamaa 😹
Wewe tena CHAKA LIMEMPATA MNYAJI..Maka 😍😍😻
Binti wa zamani we mshangazi unapitwa huku, hivi Maka umemuona?
Yani vile vitu vyenye tunavipenda wadada Maka anavyo sasa full package ohhh 😻😻
Limaka lizuri nyie 😋😋
Halafu lina rangi nzuri sio white sio black yani rangi imeni turn on..!! 🥰
Tuyajenge mimi na wewe..unanimaliza bwanaaa Lamomy nikiishi hapa si fresh tu dada au unasemaje
We mshangazi, usimsikilize lamomy, shauri yakoAcha story, tupia hicho kitu buana 📸
Naanzaje kwanza mchizi wangu?Lamomy mchizi wangu, hawezi kunikandia..
Jua hilo kwanza
🤣😂
MhmmmUnajitungia maneno, hajasema ananipenda.
😘 😘 😘 Thanks babe, love you too...hapa siwezi ishi bila wew akiii😋
Ngoja niweke ngoma ya mchizi wamgu remix, nikukumbuke vemaNaanzaje kwanza mchizi wangu?
Group O sisi watu wa vibe tu..!!
Mshamba bana, wewe si upo mambele min..!!Mhm mimi au?
Umepotea sana mkuuIshi maisha yako, fanya kile Roho yako inapenda. Swaga hazina umri bhana wewe huwaoni hata Jigga na Ye?
Kwani nikiwa mbele siruhusiwi kuchati na watanzania?.Mshamba bana, wewe si upo mambele min..!!
Sasa Lamomy akubembeleze, na mimi tena 😂 wewe sema tu kama unaninyima 😂😅We mshangazi, usimsikilize lamomy, shauri yako