min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,592
- 164,836
Yeah now mimi ni mwembamba coz nakunywa pombe kali now na tizi, hizi picha natuma siku za karibuni na za kipindi cha nyuma ila za kipindi cha nyuma jana nimefuta zote ,hivyo nizoee tu ila nashangaa iweje wewe uhoji wakati hadi sura unanijua?Mbavu - misuli mingi mnene kiasi
Model - mwebamba