Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,926
Hizo tamaa, mimi nikupe pesa wakati nyie mnapewa bure 😥😹😹Nipe 500k. natuma mzigo wa pesa bure kabisa
Hizo tamaa, mimi nikupe pesa wakati nyie mnapewa bure 😥😹😹Nipe 500k. natuma mzigo wa pesa bure kabisa
😂 😂 hakuna Mangi fala 😅Nipe 500k. natuma mzigo wa pesa bure kabisa
😹😹😹Wewe tena CHAKA LIMEMPATA MNYAJI..
🤣😂
Huyo binti wa zamani utatafuta picha ya kumpa
Ila we mtoto ni mzuri..nikija daslam naomba niwe nakusaidia kuchana huo uchebe 🤗😋
Asee mangi fala anatoka wapi aseee😅😂 😂 hakuna Mangi fala 😅
Ubongo wako mgumu kuelewa 😹😹Kwani nikiwa mbele siruhusiwi kuchati na watanzania?.
toba toba toba 🤣🤣🤣🤣 asante sana swilati 🥰Ila we mtoto ni mzuri..
Umepita live... 😘 😘
hata Google haina majibu ya urembo wako… nime search nikapata Error 404...
Uwaonee huruma ili iweje Mangi?Niwaoneee huruma au nitume picha ya kuwaiatisha tamaa ,gademiiit 😅😅😅
Hakuna!Asee mangi fala anatoka wapi aseee😅
umesahau kama anakunywa?Ubongo wako mgumu kuelewa 😹😹
Mimi nasema mshamba hachekwi sio wewe..!!
Hio chocolate color imenimaliza..toba toba toba 🤣🤣🤣🤣 asante sana swilati 🥰
😹😹😹 Swilati was necessary?toba toba toba 🤣🤣🤣🤣 asante sana swilati 🥰
Hahaaha kumbe😅😌 laumu pombe na sio ubongo wangu madam😅Ubongo wako mgumu kuelewa 😹😹
Mimi nasema mshamba hachekwi sio wewe..!!
Akumbuke kuna mkinga pia sio fala 😹😂 😂 hakuna Mangi fala 😅
si penzi jipya na wew au🤣🤣😹😹😹 Swilati was necessary?
Ila JF ina matapeli wa kimataifa
😹😹😹si penzi jipya na wew au🤣🤣
Asipokulipisha, atapigaje faida hapo yeye mtu wa kati 😂Akumbuke hakuna mkinga pia sio fala 😹
Wao mitumba wapewe free sisi atuuzie thubutuu..!! 🤣
Dah!!😹😹😹
Mi nishampa muonekano wako, kazi kwake kuipata pic kamili sasa..!!
Watu weeeweeeehhhhhh!! 😋😋Nakuja kukusaidia usafi nyumba itakua chafu toka wifi kaondoka, nitakujibu huko huko 😹😹😹
kwahiyo hata namba za bebi wako ulikua hauzikumbuki au makusudi tu 🤣😹😹😹
Yani nimecheka, babe wangu nilimtibua akaniblock na mimi nikadelete namba zake..!!
Baada ya siku 3 ananipigia anasema unaendeleaje swilati? Nikamuuliza wewe swilati yupi? Akasema nakuja kukuua Lamomy acha ungese..!! 😹😹😹
Nikamwambia bana wee km hujitambulishi nakukatia simu. 🤣
Dakika mbili huyu hapa kaja kufumania..!! 😹
Sasa mi kosa langu nini? Ukiniblock nakueka kundi la maex kiroho safi..!!