Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Maweeeeeeeeeeh ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ, jamani imekuwaje tena nikakosa kuliona likaka lihandsamu ๐Ÿ˜

makaveli10 , makaveli10 , makaveli10 - nimekuita mara tatu, hebu niwekee hicho kitu ๐Ÿ“ธ roho ifurahi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…
Wewe usimsikilize lamomy, tayari kaishavuta MARIJUANA
๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Maka ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ป

Binti wa zamani we mshangazi unapitwa huku, hivi Maka umemuona?

Yani vile vitu vyenye tunavipenda wadada Maka anavyo sasa full package ohhh ๐Ÿ˜ป๐Ÿ˜ป
Limaka lizuri nyie ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

Halafu lina rangi nzuri sio white sio black yani rangi imeni turn on..!! ๐Ÿฅฐ
Wewe tena CHAKA LIMEMPATA MNYAJI..
๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Huyo binti wa zamani utatafuta picha ya kumpa
 
Back
Top Bottom