min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,587
- 164,827
Mbeumo atawatesa sana bwasheeStriker ya magoli hiyo😂🤣🤣
Mbeumo atawatesa sana bwasheeStriker ya magoli hiyo😂🤣🤣
Imeisha hiyo, njoo uchukue uzi mpyaHili chama litaniua ipo siku 😹😹
makaveli10 naomba jezi yangu hii nimeichoka
Kila siku unaeka mtu mpya
😳😲😲 Jama jama mbona nimewekaHivi maka kwanini unapenda kunifanya mjinga? Hiyo pic iko wapi? 😏
Ishi maisha yako, fanya kile Roho yako inapenda. Swaga hazina umri bhana wewe huwaoni hata Jigga na Ye?Hahhahahaha wanadai hivyo ila mimi japo umri umeenda ila napenda swagas😅😅😅😅
😹😹😹 The Gunners bana itaniua kweli ujueLamo mtoto mzuri mwenye shingo ya twiga haupaswi asenane ikuue mchumba😅
OK, ni kwa sababu binafsi napenda mambo mapya kila wakati😉Kila siku unaeka mtu mpya
Na itawapasua moyo 🤣😹😹😹 The Gunners bana itaniua kweli ujue
Ni mimi mzee, siwezi danganya huyu bintiHahahaha sio wewe acha kumdanganya mtoto mzuri wewe😅
Yani anaweka anafuta chap jamani ndo nini sasa??Nimefeli masta yupo fasta
We unirepu thubutuuu..!! 😹😹😹Kama ni hivyo mbona hukunikumbusha!? 😂🤣
Haya sawa njoo uichukue
Ile picha uliyonitumia mbona mbavu halafu hii ni model?OK, ni kwa sababu binafsi napenda mambo mapya kila wakati😉
🤣😂🤣🤣 Siwez kukurepu, si bora niugegede mkono tu 😂🤣We unirepu thubutuuu..!! 😹😹😹
Mkeo si kasafiri wewe, ugwadu wako unimalizie mie 🤣
Naijua hiyoooo
Mbavu ni kitu gani na model utakua umemaanisha nini ephen?Ile picha uliyonitumia mbona mbavu halafu hii ni model?
Wifi arudi kwanza ndo nije 😹😹Imeisha hiyo, njoo uchukue uzi mpya
Mbavu - misuli mingi mnene kiasiMbavu ni kitu gani na model utakua umemaanisha nini ephen?
Hamna tabu we njoo tu, wifi yako huwa anasafiri na NDONGA 🥒 langu 🤣😂Wifi arudi kwanza ndo nije 😹😹
Nimeona Maka 😍😍😍😳😲😲 Jama jama mbona nimeweka
😹😹😹 Acha tu tupo km vichaa tunaenda mbali halafu tunarudi na makopo..!!Na itawapasua moyo 🤣
Akhu! Naijua hiyo 😹😹🤣😂🤣🤣 Siwez kukurepu, si bora niugegede mkono tu 😂🤣